HUDUMA YA EFATHA

Apostle MwingiraHuduma ya EFATHA yenye msingi wa Kitume na Kinabii, ilianzishwa mwaka 1996 na kuandikishwa kisheria hapa Tanzania mwaka 1997. Huduma hii imeinuliwa kwa majukumu makuu matatu; Moja Kuponya watu kutokana na mateso ya magonjwa na madhaifu mbalimbali. Pili Kuwafungua watu kutoka kwenye vifungo mbalimbali vya mwili, nafsi na roho. Tatu Kuliandaa kanisa la mwisho tayari kwa ajili ya unyakuo… Soma zaidi


UJUMBE KUTOKA KWA MTUME NA NABII J. MWINGIRA

Pepo hakai mahali patakatifu,  Ukikaa mbali na dhambi pepo hawezi kukaa kwako. Kuwa na pepo siyo sifa ni dalili kuwa hushiki maagizo ya Mungu.

KUSANYIKO KUU 2016…

Ni shangwe nderemo na vifijo wana wa MUNGU wakimsifu na kucheza mbele za MUNGU kwenye kusanyiko Kuu mwaka jana 2015. Nakusihi USIKOSE Kusanyiko la mwaka huu 2016, maana hutajuta kufika kwa yale ambayo MUNGU anaenda kufanya kwa ajili yako.

Watch Dragon ball super