Entries by Admin

Mahubiri ya Jumapili Agosti 6. 2017

SOMO : SALA YA BWANA (Muendelezo) Katika Dunia hii kama HUJITAMBUI wewe ni nani hutakaa utende kama unavyotakiwa kutenda bali utatenda kama mtumwa, na Utatembea hapa duniani kama Mgeni, lakini ukijua wewe ni nani utatembea hapa duniani sawasawa na KUSUDI LA MUNGU katika Maisha yako. Shetani ni muongo atatumia KUTOKUJITAMBUA kwako ili kukutesa na kukufanya […]

IBADA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI KWA DAMU YA YESU, EFATHA MINISTRY MWENGE DAR ES SALAAM.

MASHAKA: Mashaka yamebeba KUTOKUAMINI, kama unamashaka yeyote moyoni mwako ya kwamba unacho kihitaji kutoka kwa Mungu hutakipata basi ni afadhali usiombe, kwa maana unapokuwa na mashaka hutaweza kupokea. Endapo utajisemea mwenyewe kuwa haustahili kupokea kitu chochote kutoka kwa Mungu inamaana kuwa hutaweza kupokea, kwa maana umejikataa mwenyewe, lakini ukijikubali utapokea. Mungu anataka watu wanaojitambua kuwa […]

UJUMBE ZIARA YA KITUME NA KINABII – MWANZA 3

SOMO: NGUVU YA MUNGU – MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Katika kumfanyia Mungu IBADA, uelewa wako ndiyo wa Muhimu zaidi kuliko ile Ibada unayoenda kufanya. Yaani mwendee Mungu wako huku ukielewa YEYE ni NANI na ANAWEZA Kukufanyia nini. Mfano: Kaini na Habili walipomwendea Mungu Habili alimwendea huku akielewa yeye anaenda kufanya nini kwa Mungu […]

UJUMBE ZIARA YA KITUME NA KINABII – MWANZA 2

SOMO: NEEMA. MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Neema ya Bwana wetu YESU KRISTO, Neema ni ya Bwana YESU lakini Upendo ni wa MUNGU BABA . Nini kazi ya Neema, Neema inasimama au kuthibitika mahali ambapo ustahili haupo. Mfano: Unataka kujenga nyumba lakini uwezo wa kujenga hauna, unaposaidiwa kujenga hiyo ndiyo huitwa Neema. Neema haiji […]

UJUMBE ZIARA YA KITUME NA KINABII – MWANZA 1

SOMO: UBABA NA UWANA; MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. Mathayo 11:25 “Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.” Kuna mambo ya Mungu ambayo Amewaficha watu wenye Hekima, na kuwafunulia wale Waliokusudiwa. Akili ya kibinadamu haitakaa ikufunulie siri […]

UJUMBE ZIARA MKOANI MARA (SEHEMU YA PILI)

SOMO : UBABA – MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWIGIRA Mathayo 11:25-27 “Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, ..…” Nani amefunuliwa? Yesu yeye ndiye wakwanza kabisa kufunuliwa na Bwana na akaja kwetu kwa kupitia Mariamu ili […]

UJUMBE ZIARA – MARA (SEHEMU YA KWANZA)

SOMO: UBABA – MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. Mathayo 11: 25, “Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako. Akasema, Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila […]