Posts

IBADA ya maombi na kufunga

Zaburi 128:1-2 “Heri kila mtu amchaye BWANA, Aendaye katika njia yake. Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema.”

Ukimcha BWANA Kazi ya Mikono yako UTAILA mwenyewe, unajikuta katika Maisha yako unataabika, Pesa yako INALIWA na matatizo, siyo KUSUDI LA MUNGU Hilo.

MUNGU Alikupa MAPATO ili uwe na Maisha Mazuri, sasa unaona kabisa unatumia nguvu kubwa lakini jasho lako Anakula Mtu mwingine, Hayo siyo MAPENZI YA MUNGU na SIYO KUSUDI LAKE.

Kile Kinachozingira chaweza kuwa ni shetani, mazingira, watu ama ni Wewe MWENYEWE kwa Kutokuelewa.

Muombe BABA yetu wa Mbinguni akusaidie kutoka katika Mazingira hayo.

MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (Ibada ya Maombi na Kufunga).

Events

Nothing Found

Sorry, no posts matched your criteria