Posts

Matukio katika picha Ibada ya Uponyaji iliyofanyaka Jumamosi tar. 5/8/2017

KATIKA PICHA: Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Wachungaji mbalimbali wakifanya huduma ya maombi kwa wagonjwa mbalimbali katika Ibada ya maombi na ukombozi, ambapo wagonjwa waliponywa kutoka katika vifungo mbalimbali ya magonjwa na mateso ya kila namna. EFATHA MINISTRY  “MAHALI YESU YUPO KAZINI”


NI ZAMU YAKO KUPOKEA UPONYAJI

Fuatilua maombi haya kwani ni zamu yako kufunguliwa kutokana na kila aina ya ushirikina, magonjwa na madhaifu ya kila namna MUNGU anakupenda sana.

Maombi haya yaliongonzwa na Mchungaji Kiongozi wa Efatha Ministry Zanzibar alipokua kanisani Efatha Ministry Ruvuma – Mkuzo.

KAMA HUJAOKOKA KARIBU UMPOKEE BWANA YESU LEO ili shetani asipate nafasi ya kushambulia maisha yako. Tuandikie JINA LAKO NA SEHEMU ULIPO NA NAMBA YA SIMU nasi tutawasilia nawe kwa msaada zaidi. MUNGU anakupenda atakusamehe na kufutilia mbali uovu wako na atakuponya na kila linalokusumbua. AMEN..

Events

Nothing Found

Sorry, no posts matched your criteria